Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Kiukweli huyu jamaa nilikuwa namkubali sana katika kuigiza! Ni mtu aliyekuwa na kipaji kikubwa sana ila nadhani nyota yake ilikuwa imefifia tu! Ni wasanii wachache sana wa bongo waliokuwa wanaweza wakalinganishwa na huyu jamaa! Jamaa alikuwa mashine!
RIP brother Adam Phillip Kuambiana!!!
Raha ya milele umpe eebwana, na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani, amina!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…