Uchaguzi 2020 Msanii wa Hip Hop Dkt. Godfrey Nyahongo 'Bonta Maarifa', achukua fomu kuomba ridhaa kugombea Ubunge Kahama Mjini kupitia CCM

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Msanii wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi nchini Tanzania, Godfrey Nyahongo maarufu 'Bonta Maarifa', ambaye mwaka 2015 alitunga wimbo uliokosoa kabisa mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu kuwa ni 'Mauongo Time', amechukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kuwania Ubunge Jimbo la Kahama Mjini.

Bonta kitaaluma ni Daktari wa Binadamu na anafanya kazi kwenye Hospitali Kahama.

Pia soma
> Fikra pevu kutoka kwa Bonta
> Sikiliza na angalia wimbo huu wa Bonta

Bonta.jpg

Cheki alivyovaa vizuri😀
 
Pale kwa bibi pafanane na Arusha pale kwa bibi pafanane na Mwanza Mwanza.................

"Hospital iwe mlangoni,
Maji safi yaje mdomoni,
Sitaki uzushi wa ya mfukoni,....

Kosa nililofanya sitaki kurudia leo,
Ndo maana nimesimama tena strongest kama Cheyo"...

What's Up Bonta maarifa.

All the best of luck 'Mganga wa Mtoni'.

-Kaveli-
 
WTF!!!

Inasikitisha!!!

Michezo gani hiii Inaendelea...??

"Ukitaja Conscious Please Usimuweke Bonta"

Fake Bonta mc,Alisina Is OffCampus.
 
Back
Top Bottom