Cheki alivyovaa vizuri😀Msanii wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi nchini Tanzania, Godfrey Nyahongo maarufu 'Bonta Maarifa', ambaye mwaka 2015 alitunga wimbo uliokosoa kabisa mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu kuwa ni 'Mauongo Time', amechukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kuwania Ubunge Jimbo la Kahama Mjini.
Bonta kitaaluma ni Daktari wa Binadamu na anafanya kazi kwenye Hospitali Kahama.
Pia soma
> Fikra pevu kutoka kwa Bonta
> Sikiliza na angalia wimbo huu wa Bonta
Bonta ni among founder and member of Weusi.Bonta sio kundi la weusi, na hajawai kuwa kundi la weusi
Zombe je ?Chadema lazima wajiulize wamekosea wap? Watu aina ya Bonta miaka ya nyuma wakichukua form kupitia chadema.
kumbe ni clinical officer?Dokta gani clinical officer tu huyu? Acheni kumpa sifa za kijinga. Dokta inaanzia MD.
Pale kwa bibi pafanane na Arusha pale kwa bibi pafanane na Mwanza Mwanza.................
mbona kama imekuuma sana bibieDokta gani clinical officer tu huyu? Acheni kumpa sifa za kijinga. Dokta inaanzia MD.
Kila mtu na mipango yakeWTF!!!
Inasikitisha!!!
Michezo gani hiii Inaendelea...??
"Ukitaja Conscious Please Usimuweke Bonta"
Fake Bonta mc,Alisina Is OffCampus.
Zombe alishakuwa Rco Dsm mtu mwenye heshima zake.Zombe je ?