tupeniii dataMsanii wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi nchini Tanzania, Godfrey Nyahongo maarufu 'Bonta Maarifa', ambaye mwaka 2015 alitunga wimbo uliokosoa kabisa mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu kuwa ni 'Mauongo Time', amechukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kuwania Ubunge Jimbo la Kahama Mjini.
Bonta kitaaluma ni Daktari wa Binadamu na anafanya kazi kwenye Hospitali Kahama.
Pia soma
> Fikra pevu kutoka kwa Bonta
> Sikiliza na angalia wimbo huu wa Bonta
MAISHA sanaaaa sanaaaa magumuuukakaaa UK is an a familia as utaelewaa kwannn ma RC wanakimbilia ubungeeeZombe alishakuwa Rco Dsm mtu mwenye heshima zake.
Clinical officer naye ni mtu piaDokta gani clinical officer tu huyu? Acheni kumpa sifa za kijinga. Dokta inaanzia MD.
Amazake Amazao Alinena bila Upeo,Nasasa ni Amazake!!!Kila mtu na mipango yake
Bonta Ni Conscious achana na bifu yake na nikki mbishiWTF!!!
Inasikitisha!!!
Michezo gani hiii Inaendelea...??
"Ukitaja Conscious Please Usimuweke Bonta"
Fake Bonta mc,Alisina Is OffCampus.
ni kweli kuwa ni clinical officer au kazusha tu?mbona kama imekuuma sana bibie
Bonta Mc!!Harakati zote kumbe mchumia tumbo tu
Alafu baada ya urco akaenda wapi na kwanini?Zombe alishakuwa Rco Dsm mtu mwenye heshima zake.
Hayo ni maisha tu. Kuna kupanda na kushuka.Alafu baada ya urco akaenda wapi na kwanini?
Nikupe shilingi ngapi mkuu😁Dkt Bonta hahaha hakika tutaona rangi za kila aina
Nauza kura yangu
Clinical officer huyo. Kamaliza Mtwara 2005ni kweli kuwa ni clinical officer au kazusha tu?
Ana heshima gani huyo muuwaji, mwizi na mnyang'anyi wa madini, namchukia sana huyo mtuZombe alishakuwa Rco Dsm mtu mwenye heshima zake.
Hana uconscious wowote mchumia tumbo tu, anapingana na nyimbo zakeBonta Ni Conscious achana na bifu yake na nikki mbishi
kuna kipindi alikuwa mzumbe.sijajua alisoma nini paleClinical officer huyo. Kamaliza Mtwara 2005
Health information management systemkuna kipindi alikuwa mzumbe.sijajua alisoma nini pale
Alisoma course ya Health System Management (HSM) nadhani kamaliza 2012.kuna kipindi alikuwa mzumbe.sijajua alisoma nini pale
Siyo Health Information Mgt System ni Health System Mgt (HSM).Health information management system
Hilo neno haliclick kichwani mwangu....healh information management system??Health information management system
Utajua hujuiHilo neno haliclick kichwani mwangu....healh information management system??