Msanii wa Hip Hop Suma Mnazareth aibiwa pesa na simu Mbeya baada ya kulewa sana

Msanii wa Hip Hop Suma Mnazareth aibiwa pesa na simu Mbeya baada ya kulewa sana

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Hali hii imempata akiwa kalewa chakari na kuzima kabisa.

Amejikuta kakung'utishwa kila kitu mpaka kushindwa kulipa bili baa ya bia na vyakula alivyokula. Ilimbidi aende hotelini kuuza vitu vyake vya thamani ili alipe bili.

Msanii huyu ulevi utampeleka pabaya.
 
jdakllljjljl.jpg

Dogo amekula kichapo heavy , inasemekana hata marinda yametatuliwa.. wanangu wa Mbeya wakishiba viazi sio watu poa
 
Back
Top Bottom