Msanii wa Hip Hop Suma Mnazareth aibiwa pesa na simu Mbeya baada ya kulewa sana

Lady Mwali

Senior Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
147
Reaction score
333
Hali hii imempata akiwa kalewa chakari na kuzima kabisa.

Amejikuta kakung'utishwa kila kitu mpaka kushindwa kulipa bili baa ya bia na vyakula alivyokula. Ilimbidi aende hotelini kuuza vitu vyake vya thamani ili alipe bili.

Msanii huyu ulevi utampeleka pabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…