Msanii wa kabila la Oroqen Bw. Guo Baolin kutoka mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China, ni mrithi wa usanii wa utengenezaji wa sanaa za gamba la mti wa mbetula, ambao ni urithi wa utamaduni usioshikika nchini China.
Mke na binti yake pia wanamfuata na kufanya tarizi murua za jadi za kabila la Oroqen na sanaa za gamba la mti wa mbetula, ambao wanaenzi urithi wa utamaduni usioshikika.
Mke na binti yake pia wanamfuata na kufanya tarizi murua za jadi za kabila la Oroqen na sanaa za gamba la mti wa mbetula, ambao wanaenzi urithi wa utamaduni usioshikika.