Msanii wa kibongo Davista aomba kukutanishwa na Tekno.....

Msanii wa kibongo Davista aomba kukutanishwa na Tekno.....

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Msanii wa kibongo anayechipukia aitwae Davista, ameomba kwa mtu yeyte mwenye connection na msanii Tekno aweze kumfanyia mchakato akutane nae kwa maana anaamini kutokana na kufanana kwao kwa kiasi fulani inaweza kumsaidia akatoboa kimuziki.
Aidha, msanii huyo kwa sasa anatamba na kibao chake kiitwacho super woman.
Screenshot_2018-09-17-17-29-07-1.jpg

https://youtu.be/MWcR8cfJ-04
 
Mi naona kafanana na Miss Rwanda
 
Hivi Tekno akimuomba nyoro atakataa huyu?
 
Back
Top Bottom