Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ukitaka kujiunga na dini hiini rahisi sana.Unachotakiwa kufanya ni kuwatumia email yenye picha isiyokutambulisha ukiwa umeshika karatasi lililoandikwa I Believe In Yeezus.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He has the highest moral standards and highest integrity
mmmmmmmmmmmh
Wajionaje na khali bibie?
naendelea vyema
Mshukuru Mungu
dini ni uongo unaoelekea kupitwa na wakati
Attention! Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity . Jina hili linafanana na album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ni combination ya nickname yake ya Ye na jina la Jesus. Tayari kuna website kwa ajili ya waumini inayoitwa Yeezanity.com . Wafuasi wa dini hiyo wanatumia sanamu linalofanana kabisa na uso wa Kanye West. Founder wa dini hii alisema Kanye West is the most honest person in our culture.He has the highest moral standards and highest integrity. He is the most creative person. And as its typical with creative people, he gets a lot of flack from the lower minded masses. Its not even that they dont like him, its that they dont know what hes doing because the press gives it this negative spin all the time![]()
Ukitaka kujiunga na dini hiini rahisi sana.Unachotakiwa kufanya ni kuwatumia email yenye picha isiyokutambulisha ukiwa umeshika karatasi lililoandikwa I Believe In Yeezus.
Oya tafadhali naomba kama waweka habari hapa uweke na chanzo chake...nimeona wakati mwingine waweka habari za kupotosha ama zilizopitwa na wakati...mi naona haichukui muda kuweka link, ama wasemaje?
Oya tafadhali naomba kama waweka habari hapa uweke na chanzo chake...nimeona wakati mwingine waweka habari za kupotosha ama zilizopitwa na wakati...mi naona haichukui muda kuweka link, ama wasemaje?
ahahahahahaaaaaaaaaaaaaa_it's matter of time...right..?
dini ni uongo unaoelekea kupitwa na wakati
utasubiri sana,wana filosofia weng na wanasayansi walipata kusema hvo na wengne wakaweka miaka flan,wakangoja sana,wakafa wakaacha hayo mambo yanapata umaaruf kuliko kawaida.
Wewe ukiweka habari unatuonyesha chanzo kutoka kwenye blog yako je iko ndio chanzo?
Wewe google utapata habari zaidi