Msanii wa Hip Hop wa Marekani na mmiliki wa label ya Dreamville J. Cole ameonyesha love kwa nchi ya Tanzania kwny moja ya mistari yke kwny wimbo uitwao Bablo Boat alioshirikishwa na msanii Royce Da 5’9.
Katika moja ya mistari J Cole amesikika aki rap " I sunbathe with my son and Tanzanian sun rays thinking ’bout dumb days"
Hii imeonyesha J Cole aliya penda na kufurahishwa na mazingira na hali ya jua liliopo Tanzania.
Mwaka 2015 J Cole alikuja Tanzania na kutemblea mlima Kilimanjaro.
Jamaa naipenda flow yake anavyorap ipo pouwa sana yote tisa huyu jamaa amesoma na alikua bizuri sana darasani kiasi kwamba ufaulu wake una madistinction hatari na cum laude kama sijakosea