Msanii wa tiptop conection akamatwa na gunia arobaini za bangi, soma mkasa mzma hapa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=1]MSANII WA TIPTOP CONECTION AKAMATWA NA GUNIA AROBAINI ZA BANGI, SOMA MKASA MZMA HAPA[/h]
Msanii anaejulikana kwa jina la deso hivi karibuni amekamatwa na gunia arobaini za bangi na mpaka sasa yupo mikononi mwa police katika kituo cha police kibaha na leo jumatatu anategemewa kufikishwa mahakani kujibu mashtaka hayo. akiongea na blog hii chanzo chetu cha habari kimesema mtuhumiwa alikutwa na vitu hivyo kwenye gari alipokuwa anajaribu kuzisafirisha kupeleka mkoani tanga
 
Duh gunia 40 mpwa alikua anatoboa dzain wengi huku sembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…