Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Kachukue Kigamboni MkuuSijui na mimi nikachukue form?
Huyo wa kuliaPicha yake kwa ambao hatumjui.
Chama cha wasanii na waganga wa kienyeji..Yule Msanii maarufu wa vichekesho kwa jina Ringo achukua form kugombea Ubunge Jimbo la Songea Vijijini kwa ticket ya CCM.
πππYule Msanii maarufu wa vichekesho kwa jina Ringo achukua form kugombea Ubunge Jimbo la Songea Vijijini kwa ticket ya CCM.
unashangaa hii ya Ringo?Sasa hii too much
Amberrutty kasema anagombea jimbo la ccm.. maana yake hajui tofauti ya jimbo na chama.unashangaa hii ya Ringo?
Umber Rutty ametangaza nia Kinondoni.
Picha yake kwa ambao hatumjui.
Masikhara hayo. Kupitia Chama cha mbogamboga au chama gani?unashangaa hii ya Ringo?
Umber Rutty ametangaza nia Kinondoni.
Labda vikongwe ndo hawamjui.