Uchaguzi 2020 Msanii Wakazi Wassira kugombea Ubunge 2020 kupitia ACT Wazalendo

Uchaguzi 2020 Msanii Wakazi Wassira kugombea Ubunge 2020 kupitia ACT Wazalendo

Super Villain

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2019
Posts
9,391
Reaction score
21,045
Msanii wa kizazi kipya na mwanachama wa chama cha ACT Wazalendo , rasmi ametangaza nia ya Kugombea Ubunge katika Jimbo la Ukonga Dar es Salaam kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020.

Wakazi ambaye alijiunga na chama hicho hivi karibuni, ameeleza nia hiyo jana Juni 20, 2020 kwenye mkutano wa chama hicho uliofanyika katika hoteli ya Lamada DSM.

EWAKAZIIAA.jpg
 
Safi sana Mtia nia wa pili huyo baada ya Kala Jeremiah,Tunasubiria Makonda nae atangaze nia Ukonga au ataenda K/mboni.
 
Safi sana Mtia nia wa pili huyo baada ya Kala Jeremiah,Tunasubiria Makonda nae atangaze nia Ukonga au ataenda K/mboni.
Niliona pia master J kwenye interview yake ya jana na wasafi TV kupitia kipindi cha refresh amesema kuwa amechukua form kupitia chama tawala CCM anasubiria kama chama wataweza kumpitisha na kugombea jimbo la kwao huko Rombo kwa tiketi ya CCM.
 
Hawawezi kumpitisha,CCM ina wenyewe.
 
Takataka hizi za kwenye matamasha ndio zinataka kuongoza mikataba ya uwekezaji na Elimu zao za chini ya mnyanya? Ila kwa hii awamu matope yote haya utayaona Bungeni maana yule DC mrembo amewafanya wasanii waone kumbe hata machangudoa wanaweza tyu. Mwenzenu anamegeka huko hata mchumba hana kitumbua kimekodiwa mpaka kichokwe Sasa na wewe master nenda na Malinda uone
 
Dunia ni ya ajabu sana.
Nadhani imefika wakati Vyama vyetu vya siasa viweke mbele Maslahi ya nchi.
Hasa Chama tawala. Kwa muda mrefu tewakilishwa na watunga sheria wenye uwezo mdogo sana kwenye maarifa na mipango ya miaka 200 ijayo mbele.
Matokeo yake mpaka sasa tunatumia sheria ,katiba, mipango ,elimu,tafiti na dira za wakoloni. Wakijadili jambo wanaangalia ushindi wa Chaguzi na kushika madaraka.

Naiomba CCM ya Dr.Bashiru na Polepole ikiongozwa na Mwanasayansi Mh. Magufuli ituletee watu walipitishwa kwa hoja zenye maono na sio umaarufu wa MTU kisanii sanii. Umaarufu utumike kuongoza vyama lakini sio Serikali wala kuwawakilisha wananchi.
Mihimili ya Dola ibaki kuwa ya watu wenye uwezo . Bila kufanya hivyo sio muda mrefu bunge litadharaulika sana kwani litaonekana kama muhimili wa wasanii na waimba twarabu tuu kuburudisha mihimili mingine iliyojaa watu wenye taaluma kubwa na watu makini.
 
Takataka hizi za kwenye matamasha ndio zinataka kuongoza mikataba ya uwekezaji na Elimu zao za chini ya mnyanya? Ila kwa hii awamu matope yote haya utayaona Bungeni maana yule DC mrembo amewafanya wasanii waone kumbe hata machangudoa wanaweza tyu. Mwenzenu anamegeka huko hata mchumba hana kitumbua kimekodiwa mpaka kichokwe Sasa na wewe master nenda na Malinda uone
Duh! Jokate ananangwa hapa!
 
Back
Top Bottom