huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Habari wanajamvi.....
Hili post/thread halihusiani na siasa........
Jana nilimwona wastara wakati anahojiwa na Vijana wa shilawadu (Kwisa na Soudy Brown) kiukweli huyu dada n mgonjwa na anahitaji Msaada ili akatibiwe....
Huyu dada anahitaji Mil 19 ili awze kupata matibabu nje ya nchi,huyu dada asaidiwe kwa namna yeyote ile,anapata maumivu makubwa sana kiukweli anahitaji msaada........
Lakini nilikuwa najiuliza hivi wasanii mil 19 imewashinda???? kweli ???
Wameshindwa kumchangia mwenzao apate matibabu??
Hivi wasanii si ndo kioo cha jamii,hiv sisi wananchi wa kawaida tunajifunza nn kutoka kwao???
Kweli hujafa hujaumbika
Huyu dada anapata maumivu makali asaidiwe.....
Hivi huyu si aliolewa na Mbunge,hiv yule Ameshindwa hata kutoa mil 10????
Kweli????
Its very painfull