Msanii young killer ananufaika vipi na huu msemo wake "pambana na hali yako"

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
umekuwa ni msemo maarufu sana mtaani pengine wengi hawajui nani aliyeuanzisha huu msemo wengi hawajui young killer ndo mwanzilishi baada ya kuimba nyimbo ambayo alikuwa anamponda msanii mwenzie ney wa mitego baada ya mda tena kidogo nikasikia tangazo la tigo likiutumia huu msemo lakini sielewi ni namna gani msanii ataweza kunufaika inapotokea ishu kama hii
 
Huo msemo ni wa siku nyingi saana,umeanza kutumika Arusha muda tu,hajauanzisha yeye!
 
Lemutuz naye anasema Jembe ni Jembe ndo mwanzilishi wa msemo huu.... Hahahahha
 
umekuwa ni msemo maarufu sana mtaani pengine wengi hawajui nani aliyeuanzisha huu msemo wengi hawajui young killer ndo mwanzilishi baada ya kuimba nyimbo ambayo alikuwa anamponda msanii mwenzie ney wa mitego baada ya mda tena kidogo nikasikia tangazo la tigo likiutumia huu msemo lakini sielewi ni namna gani msanii ataweza kunufaika inapotokea ishu kama hii
Hakuusajili...
Na poa siyo kila kitu kinaweza sajiliwa ukapata hati miliki it was just a phrase in a song
 
Pambaneni na hali,zenu acheni kufuatilia watu muda Wa kazi huu
 
Back
Top Bottom