Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Hakuusajili...umekuwa ni msemo maarufu sana mtaani pengine wengi hawajui nani aliyeuanzisha huu msemo wengi hawajui young killer ndo mwanzilishi baada ya kuimba nyimbo ambayo alikuwa anamponda msanii mwenzie ney wa mitego baada ya mda tena kidogo nikasikia tangazo la tigo likiutumia huu msemo lakini sielewi ni namna gani msanii ataweza kunufaika inapotokea ishu kama hii
Hivi ni BRELA au COSOTA?Msemo unaweza kuuchukulia Copyright..ni laki 1 tu pale BRELA.
Kweli hauna unachokijua kwaio copy right zinaandikishwa brela? HahahahaMsemo unaweza kuuchukulia Copyright..ni laki 1 tu pale BRELA.