Karudi kwao, tena majuzi katoa nyimbo mpya ameshirikishwa au kamshirikisha mtu.Kitambo kidogo Adam tulikuwa tunakula nae bata South Beach (Kipepeo), alikuwaga na manzi wa kizungu. Mshikaji yuko poa sana, mara ya mwisho nilipanda nae basi kutoka Arusha kuja Dar, kufika Ubungo akanipa lift ya taxi mpaka mitaa ya kati. Alisema anapiga business kwenye intertainment. Ngoja nimtafute Facebook.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eno mic imepoteza wengi,wadada wamepata vina vikali usipime sababu ya eno mic,wababa wametelekeza familia kwa ajili ya kutembeza eno mic,tulizana!
Hapana mkuu,ipigwe babygal ya mad IceNa iongezwe hapo kitu cha hardman "tamala"
Hapana mkuu, ipigwe mama mia ya Dj cutter na mad ice.Hapana mkuu,ipigwe babygal ya mad Ice
Days to remember indeedHapana mkuu, ipigwe mama mia ya Dj cutter na mad ice.
Those were the days.