Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Nataka msaada wa mawazo toka kwenu wana jamvi, nina option mbili, either nisome Msc. Accounting and Finance au MBA-Finance, naomba tuzichambue ili niweze fanya good decision, kupata msaada kwa watu waliokuzidi elimu ni muhimu sana then you will make decision kutokana na mawazo tofauti ya watu... JF daima.