Msc. Accounting and Finance Vs MBA-Finance.

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,212
Nataka msaada wa mawazo toka kwenu wana jamvi, nina option mbili, either nisome Msc. Accounting and Finance au MBA-Finance, naomba tuzichambue ili niweze fanya good decision, kupata msaada kwa watu waliokuzidi elimu ni muhimu sana then you will make decision kutokana na mawazo tofauti ya watu... JF daima.
 

fanya MSc Ac na Fin iko deep tangu unaanza mpk unamaliza unasoma major zako za acc na finance ila MBA utasoma part ndogo ya finance course nyng utasoma general....mimi nafanya MSc finance
 

Wakuu mimi nataka nisome MBA Finance and Economics sijui kwa bongo chuo gani kinatoa hii kozi maana sijawahi kuulizia.
 
Wakuu mimi nataka nisome MBA Finance and Economics sijui kwa bongo chuo gani kinatoa hii kozi maana sijawahi kuulizia.

I guess SAUT MWANZA campus, ebu cheki nao kwenye website yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…