Msc in Computer science with artifficial intelligence & cybersecurity

princeNathan

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
312
Reaction score
632
Je vyuo vya kati unaweza kufundisha kama hukufanikisha kufikisha GPA ya 3.5 msaada wa kimawazo ukiwa na hiyo masters nina hoja nisikilizwe [emoji1][emoji1]
 
Kwa viwango vya TCU ili uwe Lecturer unatakiwa huwe na undergraduate GPA kuanzia 3.8. Kinachoangaliwa ni undergraduate GPA! Limasters lako la magumashi wakati umefail undergraduate halikusaidii!
Jamaa kajaa chuki yaani wabongo ukizidiwa tu kitu unaleta chuki kibao
 
Unafundisha mkuu vyuo vya kati vilivyo vingi haviiangalia GPA
inatolewa chuo gani mkuu?
 
Kwa viwango vya TCU ili uwe Lecturer unatakiwa huwe na undergraduate GPA kuanzia 3.8. Kinachoangaliwa ni undergraduate GPA! Limasters lako la magumashi wakati umefail undergraduate halikusaidii!
Yeye anaongela vilivyo chini ya NACTVET vinavyota certificate na diploma, Mkuu relax,hvi havinaga kigezo cha GPA
 
Sio chuki! Ukiwa na hela hata gpa 2.6 ya Undergraduate unakuwa admitted. Sasa Undergraduate GPA 2.6 alafu masters ukapiga GPA ya 5.0 alafu nenda UDSM uombe uwe lecturer uone watakavyokutoa nduki!
Jamaa kajaa chuki yaani wabongo ukizidiwa tu kitu unaleta chuki kibao
 
Sio chuki! Ukiwa na hela hata gpa 2.6 ya Undergraduate unakuwa admitted. Sasa Undergraduate GPA 2.6 alafu masters ukapiga GPA ya 5.0 alafu nenda UDSM uombe uwe lecturer uone watakavyokutoa nduki!
Kuna taasis bila masters hufany kazi then hakun 2.6 gpa ukasom masters ni kuanzia second lower class then hakuelewa swal langu amekulupuk
 
Vyuo vya kati 3.5 undergraduate sio chini ya hapo hata uwe na A+++ ya masters
Kaka umenipiga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ acha uongo vyuo vya kat havina maelekzo kama ya vyuo vikuu kuna ndugu yangu alpata 3.0 na aliajiliwa vyuo vya kati anafundisha fany uchunguzi
 
Basi fanya uende ila usirudi unalia(vyuo vya serikali,pia sio vya ualimu)
 
Kaka umenipiga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ acha uongo vyuo vya kat havina maelekzo kama ya vyuo vikuu kuna ndugu yangu alpata 3.0 na aliajiliwa vyuo vya kati anafundisha fany uchunguzi
Achana nae hajui chochote
Nenda DIT wale TUTOR na INSTRUCTORS hawaangalii GPA kwenye ajira zao,mwambie afukue ata matangazo ya ajira za TUTORS au INSTRUCTIORS hakuna kitu cha GPA
hayo mambo ni miongozo ya vyuo vIkuU chini ya TCU
Diploma na certificate ni NACTVET (Zamani NACTE)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…