Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
Vyuo vya kati 3.5 undergraduate sio chini ya hapo hata uwe na A+++ ya masters
Jamaa toka mwanzo ana roho ya ushetani ndani yake ndo maan hii nchi wasomi wengi wanapigwa vita wanajikut wanafanya mambo tofaut kwasabab ya jamiii inayotuzunguk ogopa san mtu kama huyu umkute ofisin afu awe na diplom au certficate na kakalia kitengo uje na levo kubwa utajuta hawez kukubal upate kaziAchana nae hajui chochote
Nenda DIT wale TUTOR na INSTRUCTORS hawaangalii GPA kwenye ajira zao,mwambie afukue ata matangazo ya ajira za TUTORS au INSTRUCTIORS hakuna kitu cha GPA
hayo mambo ni miongozo ya vyuo vIkuU chini ya TCU
Diploma na certificate ni NACTVET (Zamani NACTE)
We jamaa una roho ya kwanini ndani yako hujui tu gharam za kusoma masters ni pesa nyingi mno kam hujapat schoalarship lakin mtu akukut na kitengo sijuiBasi fanya uende ila usirudi unalia(vyuo vya serikali,pia sio vya ualimu)
Kuna issue 2 hapo.
Kama kiu yako ni kufundisha, hakuna cha kukuzuia kufundisha as long as una uelewa wa hizo mambo no matter una 1.5 gpa.
Just organize class , start teaching.
Pili, kama lengo lako ni ajira ya u lecture, forget it man.
Sifagilii kufundisha niliuliza tu kujua maan najua kabisa ilo ila kuna organization na ni nzur pia kuzifanyia kazi kwa level fulam masters au phdKuna issue 2 hapo.
Kama kiu yako ni kufundisha, hakuna cha kukuzuia kufundisha as long as una uelewa wa hizo mambo no matter una 1.5 gpa.
Just organize class , start teaching.
Pili, kama lengo lako ni ajira ya u lecture, forget it man.
Uwe unaandika vizuri basi maana andiko lako linakua irrelevant kwa mtazamo huu.Sifagilii kufundisha niliuliza tu kujua maan najua kabisa ilo ila kuna organization na ni nzur pia kuzifanyia kazi kwa level fulam masters au phd
😀😀Jamaa toka mwanzo ana roho ya ushetani ndani yake ndo maan hii nchi wasomi wengi wanapigwa vita wanajikut wanafanya mambo tofaut kwasabab ya jamiii inayotuzunguk ogopa san mtu kama huyu umkute ofisin afu awe na diplom au certficate na kakalia kitengo uje na levo kubwa utajuta hawez kukubal upate kazi
1.Kuna lecturer (muhadhari) huyu Undergraduate lazima awe at least 3.5 kwa baadhi ya vyuo na 3.8 kwa vingine,na GPA ya 3.5 mpaka 4 kwa masters degreeKuna issue 2 hapo.
Kama kiu yako ni kufundisha, hakuna cha kukuzuia kufundisha as long as una uelewa wa hizo mambo no matter una 1.5 gpa.
Just organize class , start teaching.
Pili, kama lengo lako ni ajira ya u lecture, forget it man.
Ila kasema hafagilii mambo ya kufundisha ndio nimeshangaa sasa why aulize1.Kuna lecturer (muhadhari) huyu Undergraduate lazima awe at least 3.5 kwa baadhi ya vyuo na 3.8 kwa vingine,na GPA ya 3.5 mpaka 4 kwa masters degree
2.Tutor (mkufunzi) hawa wako vyuo vya kati hapa GPA hazingatiwi sana kwa muingozo wa NACTVET (zamanjNACTE )
Mtoa mada aliuliza vyuo vya kati,jibu ni yes anaweza
Hapa mwenye masters wanamwite SENIOR TUTOR (MKUFUNZI MWANDAMIZI),Hivyo msikariri wakuu
Mfano wa vyuo vya kozi zilizo chini ya NACTVET ni
DIT,MUST,NIT,ATC n.k vyuo vyote vinavyotoa kozi za certificate na diploma wanafuata muongozo huu wa NACTVET
Ulikuwa mjadala tu kwa marafiki ndio maana nikapenda kuuliza watu tulikuwa tunabishan kwamba mtu wa level ya masters anafundisha tu bila shida vyuo vya kati ndio maana nikalete hili swala wajuzi tupate majibuIla kasema hafagilii mambo ya kufundisha ndio nimeshangaa sasa why aulize