and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
... 'Kaka wa taifa' ndiye nani jamaa?Peter mwaka hujunk wako upewe nini tena? Inasemekana Kaka wa Faila kashang"ata shuka huko. Andaa nguo tu. Jina unalo tayari
Raila*... 'Kaka wa taifa' ndiye nani jamaa?
Jazia nyama tafadhali.
Raila mbona ashajifia siku nyingi wakazika au kuna Raila mwingine?Raila*
Kaka yakeRaila mbona ashajifia siku nyingi wakazika au kuna Raila mwingine?
Nadhani alimaanisha Kaka wa Raila (Oburu) ambae alikua ICU. Kashindwa kuhudhuria hata hafla ya kuzindua Jumba (Mausoleum) la Makumbusho ya Raila huko kwao.Raila mbona ashajifia siku nyingi wakazika au kuna Raila mwingine?