Mkuu wa mkoa wa anaishi kwenye kilima hivi na huo mlima umezungukwa na miti mingi sana, ni kama msitu hivi na unapendeza kwakweli na ukifika kule kwake kuna mandhari zuri tu na ulinzi wa kutosha. Sijawahi kusikia habari za nyoka kuingia ndani, yawezekana wapo kwa sababu ya hayo mazingira niliyoeleza hapo juu. Ninachokiona pale labda ndege kuna ndege fulani hivi wanachafua mzingira ile mbaya, wapo upande mmoja wa mlima ile miti yote imekuwa miupee