Msekwa kazeeka na akili zake

Msekwa kazeeka na akili zake

Seto

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
953
Reaction score
56
hivi huyu msekwa kusema eti katiba yetu haina makosa ila tuna tatizo la kimaadili kichwani zinamtosha kweli?..
sasa mfano hicho kifungu kinachosema kuwa rais wa tanzania hatoshtakiwa popote akiwa na baada ya kutoka madarakani kwa makosa atakayofanya akiwa madarakani si ujinga huu,,,,sa si wataendelea kufanya madudu tu kwa sababu katiba inalinda ufisadi wao?
 
Achana na huyo mzee hakuwa na jingine la kusema zaidi ya hayo!
 
yeye ndie alitengeneza hii iliyopo hivyo lazima aitetee....yeye anamaadili gani si alikwiba hela za ubalozi?
 
Back
Top Bottom