Msema kweli forum

kabon14

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
1,233
Reaction score
867
Wakuu m nataka ntoe ya moyon Leo,Kama Na ww unalo lako moyon utatoa coz unaruhusiwa Na katiba iliyopo..

Kiukweli serikali ya mkemia inakurupka,maana inakimbilia kufanya mambo yasiyo Na faida yoyote kwa mtanzania aliye chini ya poverty line..Mfano suala la kuhamishia serikali dodoma,binafsi sio mchumi wala mhandisi lakn hilo suala linahtaji pesa nyng Sana, nimambo mangap yatasimama kutokana Na pesa nying ztakazo elekezwa huko?

Ni watanzania wangapi wanaish maisha yasiyo Na matumain Na nani wa kuwatoa huko waliko Kama serikali wanayo itegemea Ina wekeza ktka mambo yasiyo Na manufaa kwao?

Ni hayo Tu wakuu ila mkemia inabd atambue bado tunandoto Na Tanzania ya viwanda....!!
 
Anayepiga kura hana anachoamua....anayehesabu kura ndiye muamuzi wa kila kitu.
 
Acha wagogo na wao waone raha za dunia
 
Kumbuka tu ni ahadi ya 50 yrs haijatimia,ni heri kuitimiza kwa namna yyte ile...dunia nzima iko centre kasoro sisi,lets go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…