britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
OUR REAL PARTNER IS EXPLORE UGANDA.When it's the monkey's day to die, all trees become slippery"
The disgraceful and boisterous spox of #Tanzania unabashedly posted a post alluding to a fake endorsement by DJ Khaled and a Visit Tanzania deal! But thankfully he didn’t get away with it! DJ Khaled’s agency publicly denied any endorsement!
The government of killers and abductors has been exposed!
Stop this nonsense of taking pictures then posting them as if you’ve closed a major deal or as if you’ve been accepted! You’ve already pocketed the money and you’re saying you’ve promoted the country! You big thieves! Evil has been exposed! God is watching.
View attachment 3635733
Britanicca
tufafanulieniHalafu gazeti ni refu sana kwa kitu kidogo...
Mpe kazi hiyo chatgpt chap tutufafanulieni
Kila mkijitahidi kujipendekeza kwa watu kwa ajili ya kushifisha na kujisafisha kuhusu mauaji ya kimbari kwa vijana wetu wasio na hatia mnadharirika.Halafu gazeti ni refu sana kwa kitu kidogo...
Wazungu nao wapumbavu, kwani hapo ni endorsement hiyo au ni nini, imeandikwa mtu amekaribishwa hajalazimishwa Wala kuvutwa shati, kapewa jezi na kaipokea, dj Khaled alipokeaje Visit Tanzania akijua ana mkataba na explore uganda
Tatizo sio kupokea jezi ni Msigwa alichoandika kuhusu hiyo picha halafu sio wazungu ni weusi tu kama wewe wanaishi ulaya na marekani.Wazungu nao wapumbavu, kwani hapo ni endorsement hiyo au ni nini, imeandikwa mtu amekaribishwa hajalazimishwa Wala kuvutwa shati, kapewa jezi na kaipokea, dj Khaled alipokeaje Visit Tanzania akijua ana mkataba na explore uganda