Msemaji asiye na akili Gerson Msigwa kashatia Taifa aibu, Afeki jambo kumfurahisha Samia,DJ Khalid amshushua

Wazungu nao wapumbavu, kwani hapo ni endorsement hiyo au ni nini, imeandikwa mtu amekaribishwa hajalazimishwa Wala kuvutwa shati, kapewa jezi na kaipokea, dj Khaled alipokeaje Visit Tanzania akijua ana mkataba na explore uganda

That's a photo op gone wrong!!!
Hakuna cha mwaliko wala nini.
 
ok.🐒
 
Msigwa huwa akili zake zinamrukaga. Hana akili mbuzi huyo....Jamaa ni fala kupindukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…