Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amezungumzia Mkataba wa Bagamoyo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607

The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa inazozitoa kwa wananchi, Sakata la bandari Bagamoyo, matukio ya utekaji, utekelezaji wa miradi ya maendeleo, na kwa nini Rais Samia anapaswa kuchaguliwa katika uchaguzi mkuu Oktoba 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…