Msemaji mkuu wa Serikali kuzungumza na Wanahabari

security guard

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
799
Reaction score
603
Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi. Wananchi watapata fursa pia ya kuuliza maswali kwa kupiga simu kupitia Simu no: 0733111111

Usikose kufuatilia na itakuwa mubashara kupitia TBC, Maelezo TV, Channel 10, UTV, TV-E, Plus TV, Clouds TV.

#KaziInaendelea.

FB_IMG_1630706289736.jpg
 
Fursa kwa Wana jf watakaopata nafasi kuuliza maswali waulize Yale konk.
 
Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi. Wananchi watapata fursa pia ya kuuliza maswali kwa kupiga simu kupitia Simu no: 0733111111

Usikose kufuatilia na itakuwa mubashara kupitia TBC, Maelezo TV, Channel 10, UTV, TV-E, Plus TV, Clouds TV.

#KaziInaendelea.

View attachment 1923098
Nonsense, of which intellectuality to embark on such a mission. Porojo tu sana sana atakuja kumsifia Samia. Hana uwezo wa kujibu maswali ya msingi, pressing ones of national interest hana uwezo huo na hana mamlaka ya kuyaongelea, labda ya kuchuma bamia a kukuna nazi!
 
Msigwa mnatuyeyusha ,tozo bado kubwa sana,hatukatai tozo ila mmeanza na acceleration kubwa sana!! Mngeanza na 25% ya ada ya awali eg kwamfano kama Ada ilikuwa 2000 basi tozo ya serikali ilitakiwa iwe 500...Makato Jumla 2500.

Sasa katika elfu 50 unapunguza 500 ndio nini?
 
Moja. Atuambie Rais anampango gani juu ya yale makundi yaliyowekwa mstari wa mbele kutakiwa ya chanje chanjo ya corona baada ya kusikia majibu ya swali lake kwa wananchi pale Tegeta?

Mbili. SMZ inauza meli zake kwa kusema zinaleta hasara. Ule mradi wa kujenga meli mpya ambao nyingine zitakuwa za Tanganyika na nyengine za Zanzibar utaendelea? Na kama unaendelea Zanzibar wakiamua kupiga bei meli hizo mpya za mgao serikali yake ya JMT itaifanya nini SMZ?
 
Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi. Wananchi watapata fursa pia ya kuuliza maswali kwa kupiga simu kupitia Simu no: 0733111111

Usikose kufuatilia na itakuwa mubashara kupitia TBC, Maelezo TV, Channel 10, UTV, TV-E, Plus TV, Clouds TV.

#KaziInaendelea.

View attachment 1923098
Tangu Magufuli afariki Msigwa kakosa mvuto kabisa kabakia kujipendekeza tu kwa Miss Utalii wa Bongo Muvi
 
Leo Jumamosi Septemba 04, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe Gerson Msigwa atazungumza na Wanahabari na kutoa taarifa ya wiki kwa Watanzania kupitia vyombo vya habari kuanzia saa 5 asubuhi. Wananchi watapata fursa pia ya kuuliza maswali kwa kupiga simu kupitia Simu no: 0733111111

Usikose kufuatilia na itakuwa mubashara kupitia TBC, Maelezo TV, Channel 10, UTV, TV-E, Plus TV, Clouds TV.

#KaziInaendelea.

View attachment 1923098
Gerson Msigwa nani kakudanganya kuwa hizi Press zako za mara kwa mara ( on Weekly basis ) ndiyo zitakuinua na kuonyesha kuwa unafanya Kazi vizuri?

Basi bora hata ukiwa unazifanya kuwe na la maana ila ninachokiona tu kutoka Kwako ni Sifa, Kejeli, Dharau na Kujimwambafai Kwako Kwingi kwa Ushamba ambao umekuwa ukikusumbua tokea ukiwa TBC.

Unaboa....!!!!!!!
 
Waendelee kupiga picha wakati kila kitu kinapanda Bei.
In short uchumi unadorora
 
Gerson Msigwa nani kakudanganya kuwa hizi Press zako za mara kwa mara ( on Weekly basis ) ndiyo zitakuinua na kuonyesha kuwa unafanya Kazi vizuri?

Basi bora hata ukiwa unazifanya kuwe na la maana ila ninachokiona tu kutoka Kwako ni Sifa, Kejeli, Dharau na Kujimwambafai Kwako Kwingi kwa Ushamba ambao umekuwa ukikusumbua tokea ukiwa TBC.

Unaboa....!!!!!!!
Anaenda kuisifia serikali, hana uwezo wala hewezi kutoa majibu kwa maswali mazito kutoka wizara kama ya fedha, mambo ya ndani(polisi), Afya.....anaenda kupiga pororjo tu kuwa ...Kazi iendeleeeeee...
 
Swali kwa msemaji wa serikali;why serikali haikuweka hadharani ripoti ya uchunguzi wa kifo cha Hamza(rip)ripoti itakayokuja na vielelezo vyote sio taarifa finyu ya DCI;je serikali ina mpango wa kuunda idara maalum ndani ya jeshi la polisi itakayohusika ma madai dhidi yao;why serikali iliamua kupandisha bei ya mafuta wakati bei kwenye soko la dunia imeshuka?(bei ya mafuta inategemeana na soko la dunia,local currency);na mwisho ajithamini mwenyewe kama anatekeleza majukumu yake vema ya usemaji wa serikali.
 
makelele ni masuali ya Katiba ili CCM wapate kutubu Katiba kutubu.
 
Anakuja kutueleza kuwa Mama anaupiga mwingi sana huko location bwagamoyo. Eti unavutia watalii wakati Balozi za nchi wahisani zinafungwa nchini kwako wew unaenda maporini kujirekodi utopolo.
Aangalie sana huko location isije tukaipata ya mama J.
 
1.Nani walimpiga risasi Tundu Lissu?
2.Kwa nini polisi wananyanyasa raia na kuwaita "magaidi"?
Angalau akijibu haya maswali atasaidia sana.
 
Back
Top Bottom