Msemaji Mkuu wa Serikali Mobhare Matinyi kuzungumza na Waandishi wa Habari leo 26/5/2024 7:30 mchana

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Asisahau na suala la Bandari.
Kilimanjaro International Airport
Ardhi yetu kuuzwa kwa Waarabu
Makonda kumdhalilisha wanawake
Wapemba kumiliki ardhi Tanganyika
Katiba mpya.
Zanzibar na wabunge 80.
Kikokoto
Wazanzibari kufanya kazi Tanganyika
Kura ya maoni kuhusu muungano


Kama hawezi kudadavu haya bora akae na mke wake asitusumbue.
 
hana lolote la maana atalizungumzia, rubbish tu! Kinywa cha bunduki hakijawahi toka na kauli nzuri kikifunguka (methali ya kabila fulani)
 

Asante kwa taarifa, lakini sidhani kama ana jipya.
 
Hayo ndiyo masuala mbalimbali Kwa taifa kwa sasa. Tofauti ya hayo, naunga mkono, apumzike na familia kumalizia weekend yake.
 
Hana jipya huyu kada wa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…