Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Mkuu,
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Thobiasi Makoba akitoa ujumbe kwa wanahabari na Watanzania kuhakikisha wanajitokeza kupiga kura kesho, Jumatano Novemba 27.2024 ili kuchagua viongozi wanaowataka
Soma pia: Msemaji Mkuu wa Serikali azungumzia mafuriko nchini, miaka 60 ya muungano na SGR ya Dar-Dom
Akizungumza na wanahabari eneo la Kariakoo, jijini Dar es Salaam leo, Jumanne Novemba 26.2024 pamoja na mambo mengine Makoba ametoa rai kwa wananchi kurudi nyumbani wakipiga kura ili kusubiri matokeo.