Msemaji Simba: Yanga Uwezo Wao ni Mdogo

Msemaji Simba: Yanga Uwezo Wao ni Mdogo

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
1F222E6C-6F40-4C79-874A-EAE89820E64F.jpeg
Mchezo wetu wa derby tarehe 16 dhidi ya Yanga japo uwezo wake ni mdogo ,lakini tutautumia kama mazoezi yetu kuelekea kwenye robo fainali dhidi ya Wydad"-AHMED AL
 
Asiwe na waswas. Siku hyo ndo itajulikana nani ana uwezo mdogo na nani ana uwezo mkubwa….!!! Ni mapema sana kushindwa kuonesha respect kwa mpinzani wako…!!!
 
Inawezeka ikawa kaongea ukweli, maana kuna mmoja anashiriki kombe la Loser na mwingine kombe la mabingwa.

Na sasa wamerudi nyumbani huku wanachozidiana ni ulozi tu, mwingine huwa haingii uwanjani kwa kutumia geti kubwa la kuingilia uwanjani (Tayari kashaandaa fedha za faini), kabla ya kwenda kwenye mechi anatoa kafala na kuwapa ubwabwa watoto yatima.

Huyu mwingine Basi la timu linapotoka kambilni lazima lirudi kinyumenyume na wakifika uwanjani wanawasha moto
 
Ww uwezo mkubwa msemaji wa upinde sio
 
Inawezeka ikawa kaongea ukweli, maana kuna mmoja anashiriki kombe la Loser na mwingine kombe la mabingwa.

Na sasa wamerudi nyumbani huku wanachozidiana ni ulozi tu na mwingine huwa haingii uwanjani kwa kutumia geti kubwa la kuingilia uwanjani (Tayari kashaandaa fedha za faini)
Mwengine anatuma mchezaji wake Gadiel kuweka ulozi uwanjani na kuchoma moto viwanja vya watu moto.
 
Siku zote muda ni rafiki mzuri sana. Baada ya tarehe 16 ya mwezi huu, ukweli utajulikana.
 
View attachment 2579894Mchezo wetu wa derby tarehe 16 dhidi ya Yanga japo uwezo wake ni mdogo ,lakini tutautumia kama mazoezi yetu kuelekea kwenye robo fainali dhidi ya Wydad"-AHMED AL
Hakuna Msemaji wa timu anaweza kuongea hivyo. Msimuwekee maneno ambayo hajayasema. Haya ni maneno ya shabiki wa Mbagala.
 
Inawezeka ikawa kaongea ukweli, maana kuna mmoja anashiriki kombe la Loser na mwingine kombe la mabingwa.

Na sasa wamerudi nyumbani huku wanachozidiana ni ulozi tu na mwingine huwa haingii uwanjani kwa kutumia geti kubwa la kuingilia uwanjani (Tayari kashaandaa fedha za faini)
Mwingine huingia uwanjani kinyumenyume

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom