Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Mwengine anatuma mchezaji wake Gadiel kuweka ulozi uwanjani na kuchoma moto viwanja vya watu moto.Inawezeka ikawa kaongea ukweli, maana kuna mmoja anashiriki kombe la Loser na mwingine kombe la mabingwa.
Na sasa wamerudi nyumbani huku wanachozidiana ni ulozi tu na mwingine huwa haingii uwanjani kwa kutumia geti kubwa la kuingilia uwanjani (Tayari kashaandaa fedha za faini)
Manara apigiwe makofi matano ya nguvu tafadhari.....Mwengine anatuma mchezaji wake Gadiel kuweka ulozi uwanjani na kuchoma moto viwanja vya watu moto.
Wao wapambane kumfunga simba lkn sisi focus yetu ni WaydadAsiwe na waswas. Siku hyo ndo itajulikana nani ana uwezo mdogo na nani ana uwezo mkubwa….!!! Ni mapema sana kushindwa kuonesha respect kwa mpinzani wako…!!!
Hakuna Msemaji wa timu anaweza kuongea hivyo. Msimuwekee maneno ambayo hajayasema. Haya ni maneno ya shabiki wa Mbagala.View attachment 2579894Mchezo wetu wa derby tarehe 16 dhidi ya Yanga japo uwezo wake ni mdogo ,lakini tutautumia kama mazoezi yetu kuelekea kwenye robo fainali dhidi ya Wydad"-AHMED AL
Mwingine huingia uwanjani kinyumenyumeInawezeka ikawa kaongea ukweli, maana kuna mmoja anashiriki kombe la Loser na mwingine kombe la mabingwa.
Na sasa wamerudi nyumbani huku wanachozidiana ni ulozi tu na mwingine huwa haingii uwanjani kwa kutumia geti kubwa la kuingilia uwanjani (Tayari kashaandaa fedha za faini)