GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtangazaji wa ITV Hosea Mchopa amemnasa Christina Mwagala Afisa Habari wa Tabora United ambaye ametamba kufanya usajili wa kutikisa kwa kutumia Shilingi milioni 500 kusajili wachezaji takriban wanne wakiwemo Wacameroon wawili Cedrick Zemba na Kipa Jean Noel Amonome.
Mwagala amesema lengo lao ni ubingwa wa Ligi Kuu ili wawakilishe nchi Kimataifa ambapo amesema, Tabora United haitahitaji kikokotoo (calculator) kupiga hesabu kufuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Pia, Soma:
- RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
Chanzo: itvtz