GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
NA wakishuka daraja waje wapige tantalila pia
Soon tutamnyamazisha tu tena asali tano bila
Huyu mama nae anatetea ugali wake,ana haki ya kusema alichokisema, all in all ubingwa si kwa kila team, UBINGWA NI KWA AJIRI YA YOUNG AFRICANS SC. in GSM voice YANGA BINGWA.
Tumecheza nao mara nne, wametufunga mara moja hatujawahi kutoa hata sare. Anatamba hivyo atakua anaumwa huyu mama.
Mbona hajataja timu yoyote kwanini mashabiki wa utopolo ndo mmekasirika?Ana kitambi flani kizuri huyu anatekenyeka kabisa
Mbona hajataja timu yoyote kwanini mashabiki wa utopolo ndo mmekasirika?
Kama we siyo shabiki wa Yanga sema Yanga ni utopoloMbona na sie hatujataja tunashabikia timu yoyote,acha kujishtukia mkuu
Kama we siyo shabiki wa Yanga sema Yanga ni utopolo
Haya kwanini utopolo mmekasirika na hajaitaja timu yenu kuwa ndo inavunja calculator kwa kupiga hesabu vipi itavuka makundi5imba ni makolo