GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
"Kama mmeamua Kuhama hameni kimya kimya na acheni kuanza Kutuchafua kwani hata Sisi tuna yenu mengi sana tu ila tumeamua kunyamaza lakini mkiendelea na Upuuzi wenu tutaisimamisha nchi kwa kusema yale mliyokuwa mkiyafanya na ambayo mengi tumeyarekodi vile vile" amesema Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe ambaye GENTAMYCINE namjua in and out kuwa ni mwana Yanga SC lia lia tena hata kuliko Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe.
Hashim Ibwe (Msemaji wa Azam FC) acha kutupozea muda na Unafiki kama kuna unalolijua si uweke tu Hadharani?
Hashim Ibwe (Msemaji wa Azam FC) acha kutupozea muda na Unafiki kama kuna unalolijua si uweke tu Hadharani?