Msemaji wa Dar Young Africans ni nani hasa?

Msemaji wa Dar Young Africans ni nani hasa?

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
5,089
Reaction score
9,664
Kila mtu sasa ni msemaji. Kindoki, Nugaz, Bimbuli, D Ten na leo kaibuka Muro. Tueleweshwe, hasa hasa msemaji ni nani?
 
Ukijua inakusaidia nini kwenye Tanzania ya viwanda?
 
Huyo jeri muloo kasema eti ana password, sasa hiyo password siku zote alikuwa wapi mpaka leo kaona gwambina eti ndo anajidai ana password.
 
Ufumbuzi wa kweli wa Tatizo ni kujiuliza ' tumejikwaa wapi ?' Sasa kuja hoja dhaifu eti timu ndogo zinatupania au marefa wanatuonea ni kulikwepa tatizo. Kwani mmefunga magoli mangapi yamekataliwa ? Dawa ya timu inayowapania na nyinyi ipanieni...kwisha Otherwise huo ndo uwezo wenu
 
Kila mtu sasa ni msemaji. Kindoki, Nugaz, Bimbuli, D Ten na leo kaibuka Muro. Tueleweshwe, hasa hasa msemaji ni nani?
Aden Rage, Hans Pope na Patrick Aussems ndiyo wasemaji wetu.
Labda kama una lingine.
 
Back
Top Bottom