Zambotti
JF-Expert Member
- Jul 2, 2016
- 1,973
- 3,643
Msemaji wa jeshi la Kenya, KDF bwana Joseph Owuoth ambae katika siku mbili zilizopita imezuka minon'gono kwamba hajulikani alipo, na familia yake kuzua tahaluki kwamba amepotea amejitokeza na kusema kuwa yuko salama.
Kwa mujibu wa Capital News, Owuoth amasema yuko salama na anaendelea na majukumu yake
“I am fine and I don’t know where those rumours are coming from,” Owuoth is quoted by Capital News.