Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Naona Awesu kagoma kugharamia sherehe ya birthday!Hongera kwake
Kwa kuzingatia ushauri wa mkewe kipenzi ameahidi kutumia siku hiyo muhimu na watoto wenye uhitaji maalumu nchini badala ya kufanya sherehe kubwa na za anasa
Nampongeza sana Ndg Manara kwa kuwa karibu na mke wake
Haji anagonga 60 acha aburudike!Kweli kila mtu na mazoea yake, katika vitu sina hobby navyo ni kufanya sherehe ya siku ya kuzaliwa.
Sijui ni ushamba nilionao au nimechagua kuishi kizamani.
Mara nyingi maadhimisho ya birthdays hufanywa na wanawake au watu kutoka familia bora, lakini ajabu siku hizi wanaume kabisa nao wanamwagiwa Maji eti birthdays🙆
By the way Happy birthday in advance Simba SC spokesman
Kuna thread humu ilisema Haji amehama kwao miaka 3 iliyopita, kwa mantiki hiyo Umri wa Haji Manara hauwezi kuzidi miaka 42😀😀Haji anagonga 60 acha aburudike!
Itafanyika uwanja wa taifa. Wanasimba tunatakiwa kujitokeza kwa wingi.Hongera kwake