Michezo ya US na Israel hii, michezo ya kutumia drone wanapenda Sana maana Wana satellite zinazoweza kuona Hadi Pini ndogo kabisa ardhini, kitu ambacho huwezi kukiona Kwa macho Mathalan toothpick kwenye Giza wao hukiona, wanakuwinda Tu hawachoki, wakipata nafasi moja basi wanakuwahisha kaburini...baadhi ya nchi Afrika wanazo za kisasa kabisa.
Kule middle East hizi drones ndo zilikuwa zinawasaka viongozi wa vile vikundi vya Hezbollah sjui Hamas, upo zako na gari unajikuta Tu umeshakuwa majivu, ipo moja hiyo ya pikipiki inategwa barabarani kama vile imepakiwa kumbe bike mbele pale ina silaha isiyoonekana ukitokea Tu road Kwa mbele Jamaa ofisini anabonyeza Tu bike inakuwasha chuma za kutosha peke yako unakufa, halafu inajilipua yenyewe kupoteza ushahidi, hivyo ndivyo alivyouliwa mwanasayansi mmoja tegemezi wa nyuklia wa Iran...
Nashauri kama kweli kuna vijana ambao wanapenda teknolojia waanze sasa kukomaa na AI, wajinoe kwenye sophisticated issues kama hizo watatoboa miaka ya baadae, future ipo kwenye AI sasa hivi, TZ tumelala hivyo vijana wenye nia wanaweza kupata kandarasi nzuri hapo baadae maana govt inaendeshwa kijima Sana na conservatives wa miaka ya 50's hivyo unawatoa ushamba.
Leo hii vijana wa miaka 18-25 Israel wanaweza kupewa kazi ya kupiga target ndani ya Iran na wanafanikiwa, hizi mambo ni machalii Tu ndo unakuta wanakomaa nazo, Leo kiongozi yoyote Yule wa nchi ya kusadikika akiamuliwa kumalizwa ni mara moja, collectively tumelala Sana.