Msemaji wa Magereza aanika sababu Makada wa CHADEMA kuzuiwa kumuona Mbowe

Hata aibu hawana? Kama idadi ilizidi si wangeruhusu wachache?

Amandla...
 
Kama idadi ni tatizo, unashindwa nini kuwaambia waingie kwa zamu kwa muda utakaowapa? Wao wanachotaka ni kumuona Mwenyekiti wao na si kingine.

Amandla...
 
Wengi! Hawagawanyiki? Wakiwa wengi hairuhusiwi hata mtu mmoja kuingia? Jumamosi jioni walisema tishio la Corona! CCM imeshindwa kuiendeleza nchi kwa sababu ya kuhangaika na vitu vya kipuuzi visivyo na tija.
 
Mi taasisi ya kisen ....kichwani mipunguani.....Mungu anaendelea nao......muda si mrefu ATAANZA kuwatwaa
 
Kachukue 7000/- kwa amani
 
Idadi ya waliokwenda kumuona ni wangapi ? na inaruhusiwa kivipi anaweza kuonana na kundi labda la watu zaidi ya watano ,hamsini au mia maana kama wangejipanga japo wanne wanne ingefaa,ila kama mpo watu mia naona hapo si kumuona ni kufanya mkutano.
 
Wanataka kwenda kuleta fujogerezani hao watu wote hao mkarundikane gerezani wakati kuna covid 19? kwanini wasiende mmojammoja waache uhuni wao
Kile kikao chenu mlichofanya pale chamwino juzi hamkua mmerundikana ?????????, ccm upumbavu mtaacha lini ???
 
Hizi bangi hizi,maambukizi ya COVID 19!!huyu mbwiga yupo nchi gani?
Haoni watu wanaojazana kwenye uwanja wa Mpira kuangalia Simba na yanga?
Je vipi juzi pale mkoa wa pwani kwenye sikukuu ya wanawake
 
Idadi ya waliokwenda kumuona ni wangapi ? na inaruhusiwa kivipi anaweza kuonana na kundi labda la watu zaidi ya watano ,hamsini au mia maana kama wangejipanga japo wanne wanne ingefaa,ila kama mpo watu mia naona hapo si kumuona ni kufanya mkutano.
Kwani watu huwa wanakubaliana kwa pamoja kwenda kumuona mgonjwa? Wakifika hospitali si ndio wanapewa utaratibu wa kuingia kumuona mgonjwa? Sijawahi kusikia hospitali ikikataza watu kumuona mgonjwa wao kwa sababu wako wengi. Hata ICU ni hivyo hivyo. Na kwa Mbowe ni hivyo hivyo. Watu wanaamua kwa utashi wao kwenda kumtembelea siku iliyotengwa kwa ajili ya wageni. Hawa wa Magereza walishindwa nini kupanga utaratibu kama wa wenzao mahospitalini mpaka wakaamua kuzuia kila mtu?

Amandla...
 
Wengi! Hawagawanyiki? Wakiwa wengi hairuhusiwi hata mtu mmoja kuingia? Jumamosi jioni walisema tishio la Corona! CCM imeshindwa kuiendeleza nchi kwa sababu ya kuhangaika na vitu vya kipuuzi visivyo na tija.
Una umri gani tuanzie hapo kwanza
 
Alaaniwe na uzao wake uyo wa magereza afe amfuate jiwe pumbavu
 
Kwani wangejichagua watu watatu kwenda kumuona kulikuwa na ubaya/shida gani!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…