Msemaji wa Serikali akishindwa kutimiza majukumu yake ni kuihujumu Serikali

Acheni majungu watanzania hayatawasaidia kitu. Msemaji wa Serikali ndiye mwenye kupima kwamba ni taarifa gani iwafikie wananchi wote na ipi isifike.

Mtoa mada mapessa fanya kazi yako vizuri utaonekana. Ila kumbuka kazi ya Msemaji wa Serikali ni nafasi moja na tayari yupo Gerson Msigwa.
 
Kwa nafasi yeye ni msemaji Mkuu wa serikali, ndiye Kinara wa habari zote za serikali PR ya Serikali inamtegemea yeye akishindwa yeye ni serikali zima imekosa Msemaji. All in all hajui majukumu yake. Anatumika.
Msemaji wa Serikali anapaswa kuwa coordinator tu wa wasemaji wa Wizara na Idara za Serikali. Hawezi kupatikana msemaji wa kuweza kusemea sekata zote.

Haya mambo yaliharibiwa na Magufuli alipomganya Dr Hassan Abbas kuwa msemaji wa kila kitu.
Basically Msemaji wa Serikali ni Mkuu wa Idara ya Habari/Maelezo. Kazi yake ni kuwezesha Wasemaji wa Wizara kuisemea Wizara zao kupitia vyombo vya habari.

Mara chache naye anaweza kuongea kwa maagizo ya viongozi wake
 

Maajabu haya ya Dunia ......!!! Tunaye msemaji ambaye ni incompetent.
 

Imetajwa ofisi ya msemaji halijatajwa jina la msemaji.
 
Maelezo mengi yana haribu mantiki ya kitu, na kuwa umbea tu wakina amber lulu
 
Imetajwa ofisi ya msemaji halijatajwa jina la msemaji.
Kwa sasa hivi Ofisi ya Msemaji na Msemaji ni kitu kimoja. Fanya kazi kwa juhudi na kama una CV nzuri utaonekana. Wacha majungu kijana
 
Anata msemaji wa sasa awe kama Hassan Abbas enzi zile!
Mambo uliyoyazungumzia hapa yana watu maalum wa kuyasemea.

Swala la treni lipo ndani ya wizara na shirika. Msemaji wa Serikali hahusiki.

Swala la safari za Rais Msemaji wa Ikulu yeye kazi yake nini??
 
Kwa nafasi yeye ni msemaji Mkuu wa serikali, ndiye Kinara wa habari zote za serikali PR ya Serikali inamtegemea yeye akishindwa yeye ni serikali zima imekosa Msemaji. All in all hajui majukumu yake. Anatumika.
So, which is which? Anatumika au hajui majukumu yake? Majungu detected na kujaribu kumtetea Waziri wa umeme na mgao usio rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…