Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatafuta wapi?Nimetafakari kuhusu mamlaka ya huyu msemaji wa serikali. Anapata wapi cha kusema? Anatafuta mwenyewe au Rais anasema sema hili na hili na hivi na hivi?
Mgonjwa ndiye anamwambia daktari namna ya kutibu au cha kutibu! Nadhani uko sahihiMsemaji wa serikali. Hivyo huyo serikali ndie anaye mpangia cha kusema
Nimetafakari kuhusu mamlaka ya huyu msemaji wa serikali. Anapata wapi cha kusema? Anatafuta mwenyewe au Rais anasema sema hili na hili na hivi na hivi?
Kazi ya msemaji hata wa familia ni kuambiwa ya kusema na kuyasema alivyoambiwa!Nimetafakari kuhusu mamlaka ya huyu msemaji wa serikali. Anapata wapi cha kusema? Anatafuta mwenyewe au Rais anasema sema hili na hili na hivi na hivi?
Mnisamehe, mpira ni kusanyiko la hooligans.....football hooliganism!Wasemaji wa Simba na Yanga ndo wapo free kuropoka hata yasiyokuwepo na yasiyohusika!