Msemaji wa Simba Haji Manara BUGATTI akiwa anapata chakula na Viongozi wa Yanga

Msemaji wa Simba Haji Manara BUGATTI akiwa anapata chakula na Viongozi wa Yanga

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,876
Reaction score
2,190
Msemaji wa Simba Haji Manara BUGATTI akiwa anapata chakula na Viongozi wa YANGA.. HUU ndio Utani wa Jadi.. MPIRA SIO UADUI.. SIMBA NA YANGA ni Ndugu

Screenshot_20210722-195300.jpg
 
Msemaji wa Simba Haji Manara BUGATTI akiwa anapata chakula na Viongozi wa YANGA.. HUU ndio Utani wa Jadi.. MPIRA SIO UADUI.. SIMBA NA YANGA ni Ndugu

View attachment 1863565
Hapa ndo tatizo linapoanzia.mambo ya hoo mala Haji anaropoko hovyo, hana elimu mara Haji mswahili sana, hayo sio shida shida ni Haji kuwa part ya GSM ambao ni wadhamini wa Yanga.
 
Manara wanamuonea bure.

Acha wananchi tukapige tena kwenye mshono sijui watasema nini hawa watani zangu.
 
Haji na Gharib ni marafiki
Gharib ni Simba dam..
GSM shareholder mwenye nguvu JK ndo alipeleka udhamini Yanga..

Watoto wa mjini hawashangai kumuona Haji na Gharib..wote watoto wa KKOO
 
Haji na Gharib ni marafiki
Gharib ni Simba dam..
GSM shareholder mwenye nguvu JK ndo alipeleka udhamini Yanga..

Watoto wa mjini hawashangai kumuona Haji na Gharib..wote watoto wa KKOO
Watu mna siri hii bongo baada ya muda utasema Gsm yote ya Jk
 
Back
Top Bottom