Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Lakini hapo si mtani kwani ndie anacheza uwanjani tumwache manara tu
Hapa ndo tatizo linapoanzia.mambo ya hoo mala Haji anaropoko hovyo, hana elimu mara Haji mswahili sana, hayo sio shida shida ni Haji kuwa part ya GSM ambao ni wadhamini wa Yanga.Msemaji wa Simba Haji Manara BUGATTI akiwa anapata chakula na Viongozi wa YANGA.. HUU ndio Utani wa Jadi.. MPIRA SIO UADUI.. SIMBA NA YANGA ni Ndugu
View attachment 1863565
Shida huu muda aliokutana nao na kibaya lile goli moja ndio chanzo unadhani Simba angeshinda haya yangekuwepo? Hapa mwendo wa kumtafuta mchawi
Na yanga wana fitina kweli unadhani kuchukua kombe ligi kuu mara nne wanafurahia? Ni vita vya kimpiraHapa ndo tatizo linapoanzia.mambo ya hoo mala Haji anaropoko hovyo,hana elimu mara Haji mswahili sana,hayo sio shida shida ni Haji kuwa part ya gsm ambao ni wadhamini wa Yanga.
Wakifungwa tena huko Kigoma watamfukuza kabisa.Shida huu muda aliokutana nao na kibaya lile goli moja ndio chanzo unadhani Simba angeshinda haya yangekuwepo? Hapa mwendo wa kumtafuta mchawi
Kigoma aende kutafuta nini? hafai
Inasemekana picha ni ya tarehe 7 lakini watu wanajaribu kuifanya ni ya 20/07/21Msemaji wa Simba Haji Manara BUGATTI akiwa anapata chakula na Viongozi wa YANGA.. HUU ndio Utani wa Jadi.. MPIRA SIO UADUI.. SIMBA NA YANGA ni Ndugu
View attachment 1863565
Watu mna siri hii bongo baada ya muda utasema Gsm yote ya JkHaji na Gharib ni marafiki
Gharib ni Simba dam..
GSM shareholder mwenye nguvu JK ndo alipeleka udhamini Yanga..
Watoto wa mjini hawashangai kumuona Haji na Gharib..wote watoto wa KKOO