Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally amepwaya sana katika nafasi yake

Ni msemaji mzuri hasa akibaki kwenye identinty yake, tatizo lake anamcopy sana Manara hadi anapoteza uhalisia wake.
Na akipita njia ya Manara mtakua mnashinda sasa.
 
Wewe ndo wale mashabiki maandazi mnaoamini kuwa msemaji ana uwezo wa kusaidia timu ishinde
 
Wabongo bwana!! Yaani ili msemaje awe hapwai ni lazima awe mropokaji ovyo, mtukanifu, mlalamikaji, mwingi wa dharau na kejeli za kutosha.
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…