GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ole wake nimuone mwana Simba SC yoyote yule Uwanjani anaishangilia Yanga SC hasa katika Michuano yake ya Kimataifa. Simba SC tutazishangilia Azam FC na KMC pekee ila kwa Yanga SC watatusamehe kwani hata Wazee Wetu wa Simba SC walioko Makaburini sasa wakisikia eri Mashabiki wa Simba SC wanaishangilia Yanga SC nadhani Watatulaani vibaya mno kwani Kwetu hili ni mwiko kabisa.
Binafsi hata nikiona Yanga SC inacheza Mechi ya Timu inaitwa Matapishi FC Mimi nitaishangilia hiyo Timu mwanzo mwisho na kamwe iwe mchana au usiku siwezi na sitothubutu kuja Kuishangilia Yanga SC hata nishawishiwe vipi na nani hilo ni gumu.
Haji Manara ( Msemaji Wetu Simba SC ) acha Kututafuta ubaya tafadhali halafu tukakuchenjia na Wewe. au unatulazimisha tuishangilie Yanga SC kwakuwa Baba yako Mzazi ni mwana Yanga SC lia lia? Hivi kwa akili yako kabisa unadhani kuna mwana Simba SC Mpumbavu atakuja Kuishangilia Yanga SC hata Siku moja?
Na kama ni Ustaarabu Kwao Simba SC ndiyo tuliuanza miaka ile ya 90 lakini cha Kushangaza katika ile Mechi ya Fainali ya Simba SC na Asec Abidjan kama siyo Stella pale Shamba la Bibi ambapo Boli Zozo alitutungua Goli 2 nzuri tu mwanzoni wana Yanga SC walikuwa wanatushangilia Simba SC ila tulipofungwa tu hizo Goli wakaanza Kutuimba ule Wimbo wao ambao hadi leo unaniuma ukisema ..." Uzalendo Umetushinda....Uzalendo Umetushinda....Uzalendo Umetushinda ".
Ukitaka nigombane nawe au nikuchomolee Betri ya Teja nitajie Yanga SC. Siwapendi na sitokuja Kuwapenda kamwe na daima.
Haiwezekani.