Mi yanga na jumapili nitaenda ground kushangilia simba tena nataka ishinde sana tu ili nizione tena timu kubwa kama esperance taifaWote mnaoshangalia timu za nje muwe ni mashabiki wa Yanga, Simba, takataka gani sijui! huwa nawaona hamnazo kabisa kichwani. Mniwie tu radhi.
Binafsi ni shabiki wa Yanga, lakini inapotokea Simba ikacheza na timu ya nje, ni ukweli ulio wazi! nitafarijika kuiona Simba ikishinda. Utaifa kwanza halafu utani wetu ubakie pale tu tunapocheza wenyewe kwa wenyewe.
Wote mnaoshangalia timu za nje muwe ni mashabiki wa Yanga, Simba, takataka gani sijui! huwa nawaona hamnazo kabisa kichwani. Mniwie tu radhi.
Binafsi ni shabiki wa Yanga, lakini inapotokea Simba ikacheza na timu ya nje, ni ukweli ulio wazi! nitafarijika kuiona Simba ikishinda. Utaifa kwanza halafu utani wetu ubakie pale tu tunapocheza wenyewe kwa wenyewe.
Mkuu hilo unaloliongea lipo mioyoni mwa wengi sema hawatamki mdomoni tu.kimsingi.....Mimi ni shabiki wa simba lakini yanga anapocheza na timu ya nje nafurahi nikiona yanga inashinda I have friend of mine naye yanga dam ila simba ikicheza na timu ya nje anashangilia simba japo havai jezi ya simba.
Kwani kaonyesha nia ya kufanya hivyo? Au mmeamua kumtafutia sababu mumshughulikie.Anataka kututumia Washabiki wa Simba kwa malengo yake ya Kisiasa hapo 2020
Mkuu Haji Manara amezaliwa kwenye familia ya Simba.Amelelewa na babu yake upande wa mama Mzee Haji Hassan ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa SIMBA. Hata mama yake Haji alipochumbiwa na Sunday Manara kulitokea mvutano mkubwa. Wazee wa pande zote waliingilia na mambo yakawa sawa.Haji amepata jina lake kutoka kwa huyo Mzee Haji.Namjua Haji Manara ni Simba lia nia haswa na ni kumkosea kudhani kwamba ameibukia tu Simba.Haji Manara anaipenda Simba kwa dhati.manara kashangilie yanga yeye na baba yake sisi simba ambao tumekuwa washabiki wa muda mrefu kamwe hatutaishangilia yanga manara kaja simba juzijuzi na kujifanya anatujua sana mashabiki wa simbaa