Mwijaku ni mhamasishajiNauliza hivi, hivi mwijaku bado ni msemaji rasmi wa club ya simba? Kama ndie mbona simaikii wala kumuona akiifanya kazi yake mana yupo kimya sana. Kama siye mwijaku basi ni nani? Au club bado ipo kwenye mchakato?
Mana nakumbuka ni kama simba ilimtangazaga mwijaku ila wadau wengi sana hawakukubaliana na uongozi wa simba wengi walimuona hastahili.
Mwenye majibu tafadhali
Ungeweka hapa hilo tangazo la kumuajiri Mwijaku, nadhani ingesaidia kwenda vizuri na mjadala... Mana nakumbuka ni kama simba ilimtangazaga mwijaku ...