Msemaji wa Singida Big Stars ni kweli Ofisi za Klabu yako iko WhatsApp na katika Briefcase kama inavyoripotiwa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Naamini Kamarada (Comrade) wangu Hussein Msemaji wa Singida Big Stars FC yuko (tunae 24/7) hapa Mjengoni JamiiForums hivyo atalifafanua hili na kuliweka sawa kwani Binafsi kama GENTAMYCINE ninavyojua Watendaji wote wa Klabu hii ni Wasomi na Watu makini hawezi kuwa na Mapungufu haya yanayoripotiwa na baadhi ya Vyombo vya Habari nchini.

Nawasilisha.
 
Looh 😅😅

Karibuni sana Singida. Ofisi zetu zipo hapa Mjini Mataa ya Sabasaba, Jineri.
 
Hao watakwisha kama gwambina au singida united

Hizi timu za mchongo pesa, timu kazi kukopesha wachezaji ina maana wao hawana malengo?

Kocha akishindwa kufikia malengo yake wataweza kumuwajibisha kweli? Kama wachezaji wana waondoa wanavyo taka

Timu za mchongo hazina maisha, safari yao ni fupi sana...
 
Naomba niihifadhi hii post yako mkuu. Mwaka 2030 nitakuja kukukumbusha tukijaaliwa uhai.
 
Back
Top Bottom